-
Wagalatia 6:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Akina ndugu, hata ingawa mtu achukua hatua fulani isiyo ya kweli kabla ya yeye kuijua, nyinyi mlio na sifa za ustahili wa kiroho jaribuni kumrekebisha upya mtu wa namna hiyo katika roho ya upole, huku kila mmoja wenu akifuliza kujiangalia mwenyewe, kwa kuhofu wewe pia usipate kushawishwa.
-