-
Wakolosai 1:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 na kupitia yeye apatanishe tena kwake mwenyewe vitu vingine vyote kwa kufanya amani kupitia damu aliyoimwaga juu ya mti wa mateso, kwamba ni vitu vilivyo juu ya dunia au vitu vilivyo katika mbingu.
-