-
1 Timotheo 6:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 yeye peke yake aliye na hali ya kutokufa, akaaye katika nuru isiyokaribika, ambaye hakuna hata mmoja kati ya watu ambaye amemwona au aweza kumwona. Kwake kuwe heshima na uweza udumuo milele. Ameni.
-