-
Waebrania 7:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Kwa maana huyo mtu ambaye mambo haya yasemwa kwa habari yake amekuwa ni mshiriki wa kabila jingine, ambalo kutoka kwalo hakuna yeyote ambaye ametumikia rasmi kwenye madhabahu.
-