-
Waebrania 9:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Kwa maana ikiwa damu ya mbuzi na ya mafahali na majivu ya mtamba wa ng’ombe yaliyonyunyizwa juu ya wale ambao wametiwa unajisi hutakasa kufikia kadiri ya usafi wa mwili,
-