-
Waebrania 11:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa sababu hiyo pia kutoka kwa mtu mmoja, naye akiwa kana kwamba ni mfu, kulizaliwa watoto kama vile nyota za mbinguni kwa wingi na kama mchanga ulio kando ya bahari, usiohesabika.
-