-
2 Petro 2:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Hata hivyo, kulikuja pia kuwa na manabii wasio wa kweli miongoni mwa watu, kama pia kutakavyokuwa na walimu wasio wa kweli miongoni mwenu. Hawahawa wataleta ndani kimya-kimya mafarakano yenye kuangamiza na watakana hata mmiliki aliyewanunua, wakijiletea wenyewe uangamizo wa kasi.
-