-
Ufunuo 6:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na kila mmoja wao akapewa kanzu nyeupe; nao wakaambiwa wapumzike muda kidogo zaidi, mpaka idadi iwe imejazwa pia ya watumwa wenzao na ndugu zao waliokuwa karibu kuuawa kama wao pia walivyokuwa wameuawa.
-