-
Ufunuo 6:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Nami nikaona alipofungua muhuri wa sita, na tetemeko kubwa la dunia likatukia; na jua likawa jeusi kama gunia la nywele, na mwezi mzima ukawa kama damu,
-