-
Ufunuo 6:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 na nyota za mbinguni zikaanguka duniani kama mtini unaotikiswa na upepo mkali unavyoangusha tini zake mbichi.
-
-
Ufunuo 6:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 na nyota za mbinguni zikaanguka kwenye dunia, kama wakati mtini utikiswao na upepo mkali upukusapo tini zake zisizoiva.
-