-
Ufunuo 9:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Na malaika wa tano akapuliza tarumbeta yake. Nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka kutoka mbinguni hadi kwenye dunia, naye akapewa ufunguo wa shimo la abiso.
-