-
Ufunuo 10:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Nami nikachukua hiyo hati-kunjo ndogo kutoka mkononi mwa yule malaika na kuila kabisa, na kinywani mwangu ilikuwa tamu kama asali; lakini nilipokuwa nimeila kabisa, tumbo langu likafanywa kuwa chungu.
-