-
Ufunuo 11:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Nitawafanya mashahidi wangu wawili watoe unabii kwa siku 1,260 wakiwa wamevaa nguo za magunia.”
-
-
Ufunuo 11:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Nami hakika nitasababisha mashahidi wangu wawili watoe unabii siku elfu moja mia mbili na sitini wakiwa wamevaa nguo ya gunia.”
-