-
Ufunuo 13:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Nami nikaona hayawani-mwitu mwingine akipanda kutoka katika dunia, naye alikuwa na pembe mbili kama mwana-kondoo, lakini akaanza kusema kama joka kubwa.
-