Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 20:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Nami nikaona viti vya ufalme, na wale walioketi kwenye viti hivyo wakapewa mamlaka ya kuhukumu. Ndiyo, niliona nafsi* za wale waliouawa* kwa sababu ya ushahidi waliotoa kumhusu Yesu na kwa sababu ya kusema kumhusu Mungu, na wale ambao hawakumwabudu yule mnyama wa mwituni au sanamu yake na ambao hawakupokea ile alama kwenye paji la uso wao na kwenye mkono wao.+ Nao wakawa hai na kutawala wakiwa wafalme pamoja na Kristo+ kwa miaka 1,000.

  • Ufunuo 20:4
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 4 Nami nikaona viti vya ufalme, na kulikuwa na wale walioketi juu yavyo, nao wakapewa mamlaka ya kuhukumu. Ndiyo, mimi nikaona nafsi za wale waliouawa kwa shoka kwa ajili ya ushahidi waliotoa kuhusu Yesu na kwa ajili ya kusema juu ya Mungu, na wale ambao hawakuwa wameabudu wala hayawani-mwitu wala sanamu yake na ambao hawakuwa wamepokea alama juu ya kipaji cha uso wao na juu ya mkono wao. Nao wakaja kwenye uhai wakatawala wakiwa wafalme pamoja na Kristo kwa miaka elfu.

  • Ufunuo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 20:4 re 288-290

  • Ufunuo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 20:4

      Upeo wa Ufunuo, kur. 288-290

      Mnara wa Mlinzi,

      8/15/1990, uku. 31

      9/1/1989, kur. 11-12

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki