-
Ufunuo 22:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 kuteremka katikati ya njia pana yalo. Na upande huu wa mto na upande ule kulikuwa na miti ya uhai yenye kutokeza mazao kumi na mawili ya matunda, ikitoa matunda yayo kila mwezi. Na majani ya hiyo miti yalikuwa ya kuponya mataifa.
-