Ruthu 2:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Baada ya muda Ruthu yule mwanamke Mmoabu akamwambia Naomi: “Tafadhali, acha niende shambani nikaokote masalio+ katikati ya masuke ya nafaka nyuma ya yeyote yule nitakayepata kibali machoni pake.” Basi akamwambia: “Nenda, binti yangu.” Ruthu Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:2 w12 7/1 27-28; w05 3/1 27 Ruthu Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:2 Igeni, kur. 39-40 Mnara wa Mlinzi,7/1/2012, kur. 27-283/1/2005, uku. 27
2 Baada ya muda Ruthu yule mwanamke Mmoabu akamwambia Naomi: “Tafadhali, acha niende shambani nikaokote masalio+ katikati ya masuke ya nafaka nyuma ya yeyote yule nitakayepata kibali machoni pake.” Basi akamwambia: “Nenda, binti yangu.”