-
Danieli 2:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Na kama ulivyoona chuma kimechanganyikana na udongo mbichi, watachanganyikana na uzao wa wanadamu; lakini hawatashikamana pamoja, huyu na yule, kama vile chuma kisivyochanganyikana na udongo uliofinyangwa.
-