-
Mathayo 25:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Bwana wake akamjibu, akamwambia, ‘Mtumwa mwovu na goigoi, ulijua, sivyo, kwamba mimi nilivuna mahali ambapo sikupanda na kukusanya mahali ambapo sikupepeta?
-
-
Mathayo 25:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa kujibu bwana-mkubwa wake akamwambia, ‘Mtumwa mwovu na goigoi, ulijua, sivyo, kwamba mimi nilivuna ambapo sikupanda na kukusanya ambapo sikupepeta?
-