-
Yohana 3:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Huyo alimjia wakati wa usiku na kumwambia: “Rabi, twajua kwamba wewe ukiwa mwalimu umekuja kutoka kwa Mungu; kwa maana hakuna awezaye kufanya ishara hizi ambazo wewe wafanya isipokuwa iwe Mungu yuko pamoja naye.”
-