-
Yohana 6:53Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
53 Basi Yesu akawaambia: “Kwa kweli kabisa mimi nawaambia, Nyinyi msipoula mwili wa Mwana wa binadamu na kunywa damu yake, hamna uhai katika nyinyi wenyewe.
-