-
Yohana 19:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Naye, akijichukulia mti wa mateso, akatoka kwenda pale paitwapo kwa kawaida Mahali pa Fuvu la Kichwa, paitwapo Golgotha katika Kiebrania;
-