-
1 Wakorintho 6:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Ukimbieni uasherati. Kila dhambi nyingine ambayo mtu huenda akafanya iko nje ya mwili wake, lakini yeye azoeaye uasherati anafanya dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
-