-
Wagalatia 3:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Akina ndugu, nasema kwa kielezi cha kibinadamu: Agano lililohalalishwa, ingawa ni la mwanadamu, hakuna yeyote aliwekaye kando au kuambatisha maongezo kwalo.
-