-
1 Wathesalonike 3:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 kwa madhumuni ya kwamba apate kufanya mioyo yenu iwe imara, isiyolaumika katika utakatifu mbele ya Mungu wetu na Baba kwenye kuwapo kwa Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.
-