-
1 Timotheo 4:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 wakikataza kuoa au kuolewa, wakiamuru kujiepusha na vyakula ambavyo Mungu aliumba vipate kushirikiwa kwa utoaji-shukrani na wale walio na imani na wajuao kweli kwa usahihi.
-