-
Yakobo 1:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kila zawadi njema na kila upaji mkamilifu ni kutoka juu, kwa maana huteremka kutoka kwa Baba wa mianga ya kimbingu, na kwake yeye hakuna badiliko-badiliko la kugeuka kwa kivuli.
-