-
Yakobo 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Komeni kusema dhidi ya mtu na mwenzake, akina ndugu. Yeye asemaye dhidi ya ndugu au ahukumuye ndugu yake husema dhidi ya sheria na huhukumu sheria. Basi ikiwa wahukumu sheria, wewe si mtekelezaji wa sheria, bali ni hakimu.
-