-
2 Petro 1:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 kwa maana nguvu yake ya kimungu imetupa sisi kwa hiari mambo yote ambayo yahusu uhai na ujitoaji-kimungu, kupitia ujuzi sahihi juu ya yeye ambaye alituita kupitia utukufu na wema wa adili.
-