-
2 Petro 1:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa maana ikiwa mambo hayo hayakai ndani ya yeyote, yeye ni kipofu, akifunga macho yake kwenye nuru, na amekuwa msahaulifu kuhusu kutakaswa kwake kutoka katika dhambi zake za zamani za kale.
-