-
1 Yohana 2:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini yeye ambaye huchukia ndugu yake yumo katika giza na anatembea katika giza, na hajui ni wapi anaenda, kwa sababu giza limepofusha macho yake.
-