-
Ufunuo 11:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Hawa wana mamlaka ya kufunga mbingu ili kwamba mvua yoyote isinye siku za kutoa kwao unabii, nao wana mamlaka juu ya maji ili kuyageuza yawe damu na kuipiga dunia kwa kila namna ya tauni mara nyingi kadiri watakavyo.
-