Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 117
  • Lazima Tufundishwe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Lazima Tufundishwe
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Lazima Tufundishwe
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 117

Wimbo Na. 117

Lazima Tufundishwe

Makala Iliyochapishwa

(Isaya 50:4; 54:13)

1. Njo’ni mujifunze kuhusu Yehova.

‘Njo’ni munywe maji ya uzima.’

Mafunzo mema yake Yehova.

Wenye njaa wote watalishwa.

2. Na mikutano kamwe tusisahau,

Lazima tufundishwe na Mungu.

Hapa palipo roho ya Mungu,

Tunatembea katika nuru.

3. Nyimbo tuimbazo zatutia moyo!

Sauti tamu za ndugu zetu!

Tukutanike na watu Wake.

Sikuzote tusikosekane.

(Ona pia Ebr. 10:24, 25; Ufu. 22:17.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki