Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 115
  • “Iweni na Upendo Wenye Juhudi Nyingi Nyinyi kwa Nyinyi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Iweni na Upendo Wenye Juhudi Nyingi Nyinyi kwa Nyinyi”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Zaidi Ya Mambo Yote, Iweni Na Upendo Mkubwa”
    Endeleeni Kukesha!
  • Upendo—“Njia Bora Zaidi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Iweni na Juhudi Nyingi Katika Kupendana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 115

Wimbo 115

“Iweni na Upendo Wenye Juhudi Nyingi Nyinyi kwa Nyinyi”

(1 Petro 4:8)

1. Upendo mwingi sana

Unatuvumilisha

Na kupata kibali

kutoka Mungu.

Kwa upendo Yehova

Alimutuma Yesu,

Kuwe uhusiano

Kuwe umoja.

Wachaji wa Yehova

Tuwe wenye upendo,

Katika huu wenye

chuki mufumo.

Tukifuata Yesu,

kuwe upendo mwingi

Na ndiyo njia bora

—Kama Yehova, Kama Yehova.

2. Upendo wa halisi

Hauudhiki hasha,

Unaleta heshima

Kwa ndugu zetu,

Ni wenye kusubiri

Unatia wengine,

Haulalamikii

Wachaji Mungu.

Tuzidishe upendo,

Mwisho uko karibu

Upanuke ufike

Kwa wanadamu!

Tupendane sisi kwa

Hekima ya kimungu.

Kama Mungu tupende

Kwa umilele Kwa umilele.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki