Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 53
  • Ongezeko la Theokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ongezeko la Theokrasi
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kaa Karibu na Theokrasi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Yehova Atawala—Kupitia Theokrasi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Shukrani kwa Ajili ya Subira ya Kimungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Yehova Aanza Kutawala
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 53

Wimbo 53

Ongezeko la Theokrasi

(Isaya 9:6, 7)

1. Theokrasi yazidi, shangilia!

Kuna mupanuko wa ajabu.

Yehova azidi kuimbiwa na

Waenda nuru ya uso wake.

Ni kale mambo yalipoanzia

Kwa Mwokozi kujishusha chini.

Kundi kubwa, ’baki, wamupatia

Sifa yu kwa Mungu kuumeni.

2. Yesu kiti cha enzi akalia;

Mataifa yaja mbele yake.

Enzi ya Mungu atashikilia,

Aponde adui zake wote.

Mushauri, Baba wa Juu sana,

Mungu, Mwana-Mufalme-Amani.

Yah ataleta amani milele.

Aongeze utawala wake.

3. Kuishi sasa ni pendeleo we!

Je! ongezo usifurahie?

Furaha ya kutoa furahia,

Kushuhudia ufurahie.

Onya wakashifu jina la Mungu;

Wa’mbie ’Magedo’ ni karibu.

Endelea kutangaza habari

Njema za Ufalme kwa wapole.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki