Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 172
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
    Mwimbieni Yehova
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 172

Wimbo 172

Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme

(Mathayo 6:33)

1. Ni wenye thamani kwake

Mungu, wa kupendeza,

Ni Ufalme wake Yesu,

Utayanyosha mambo.

Manabii kauona

Kwa taraja, imani.

Leo Yesu atusihi

Tutumai Ufalme.

(Korasi)

2. Pendeleo kushiriki

Huduma ya Ufalme!

Huduma tuliyopewa,

Tuifanye zaidi.

Mbona tunahangaika

Kesho ni njaa, kiu?

Mungu kutupa riziki

’Falme ukiwa kwanza.

(Korasi)

3. Mfumo huu kukoma;

Mupya wa Mungu kuja.

Watu watamusifu Yah;

Dunia Paradiso.

Na tuhubiri Ufalme,

Na Kondoo wajue

Tumaini ni Yehova

Na Theokrasi yake.

(KORASI)

Tafuta Ufalme kwanza

Pia uadilifu.

Yehova tetea kwanza,

Ukiwa mwaminifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki