Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 84
  • Kazi Kubwa na za Ajabu za Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kazi Kubwa na za Ajabu za Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kazi za Mungu za Ajabu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kazi za Mungu za Ajabu
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova, Mfanyi wa Mambo ya Ajabu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
  • Washikamanifu Wako Watakubariki
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 84

Wimbo 84

Kazi Kubwa na za Ajabu za Mungu

(Ufunuo 15:3)

1. Yehova Mungu, Mwenyezi,

Kazi zako ni tukufu!

Dunia, jua na mwezi

Vyakusifu Mutukufu.

2. U haki katika yote,

Mufalme wetu milele!

Vyasifu viumbe vyote.

Sisi tumupe shukrani.

3. Nani asikuogope,

Jina alipe adhama?

Mushikamanifu Wewe,

Mungu wa sifa daima.

4. Sheria ni nyingi sana!

Zaonyesha haki yako!

’Taifa yakuabudu,

Yaungame jina lako.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki