Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 161
  • Sali kwa Yehova Kila Siku

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sali kwa Yehova Kila Siku
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Sali kwa Yehova Kila Siku
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Sali kwa Yehova Kila Siku
    Mwimbieni Yehova
  • Yesu Anatufundisha Kusali
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
  • Je, Yehova Hutusikiliza?
    Msikilize Mungu Uishi Milele
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 161

Wimbo 161

Sali kwa Yehova Kila Siku

(1 Wathesalonike 5:17)

1. Sali kwa Mungu, anasikia.

Hilo ni pendeleo la sisi.

Tunasema naye kwa uhuru;

Twaweza kumwomba kama Baba.

Tusali kila siku.

2. Sali kwa Mungu na kila siku,

Tumwombe atusamehe dhambi.

Twatafuta musaada wake;

Tusiogope anatulinda.

Tusali kila siku.

3. Sali kwa Mungu kukiwa shida.

Tupumuzishe mioyo yetu,

Atwikwe mahangaiko yetu;

Hiyo ni baraka ametupa.

Tusali kila siku.

4. Sali kwa Mungu; umushukuru.

Musifu na kusema asante.

Sema na Yehova kwa unyofu,

Ndipo tutaona wema wake.

Tusali kila siku.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki