Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 196
  • Walio Wakfu wa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walio Wakfu wa Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Watu wa Mataifa Wataiendea Makundi Makundi’ Ibada Yenye Kutoa Uzima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Wasaidieni Kondoo Waliopotea
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • “Msiogope, Enyi Kundi Dogo”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Machozi ya Asili
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 196

Wimbo 196

Walio Wakfu wa Yehova

(Yohana 10:16)

1. Kunao wateule,

Wako wakfu moyoni.

Yehova wamutii,

Kondoo wamwendea.

2. Kundi kubwa latoka.

Bora kwa Muchungaji.

Wakfu na kubatizwa,

Alithamini sana.

3. Wanahubiri Neno,

’Jasiri bila woga.

Watumika na ’baki,

Kama ’tone-umande.’

4. “Kundi dogo,” “kondoo”

Wazivuna baraka.

Wamufuata Kristo,

Wafurahisha Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki