Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 13
  • Yehova Anabadili Mateso Kuwa Ushahidi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anabadili Mateso Kuwa Ushahidi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kuvumilia Mateso
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Kuvumilia kwa Furaha Ijapokuwa Mateso
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Wakristo Wanaelekeana na Mateso kwa Uvumilivu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Kunyanyaswa kwa Ajili ya Uadilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 13

MAISHA YA MKRISTO

Yehova Anabadili Mateso Kuwa Ushahidi

Mara nyingi, lengo la watesaji linakuwa kuzuia kazi yetu ya kuhubiri. Hata hivyo, utimilifu wetu chini ya hali hizo ngumu hutoa ushahidi wenye nguvu.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA MAHOJIANO NA NDUGU DMITRIY MIKHAYLOV, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Picha kutoka kwenye video ‘Mahojiano na Ndugu Dmitriy Mikhaylov.’ Dmitriy anaongozwa na maofisa wawili akiwa amefungwa pingu.

    Ndugu Mikhaylov alikabili mateso gani?

  • Picha kutoka kwenye video ‘Mahojiano na Ndugu Dmitriy Mikhaylov.’ Dmitriy akiandika barua akiwa gerezani. Barua ambazo mke wake alimtumia zipo mezani.

    Yehova alimsaidiaje Ndugu Mikhaylov kuvumilia?

  • Yehova alitumiaje mateso ya Ndugu Mikhaylov kuwatolea ushahidi wafungwa wengine?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki