1
2
Maelezo kuhusu mambo aliyotimiza Sulemani (1-11)
Hekima ya wanadamu haina faida kubwa (12-16)
Ubatili wa kazi ya jasho (17-23)
Ule, unywe, na kufurahia kazi (24-26)
3
Kila jambo lina wakati wake (1-8)
Kufurahia maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu (9-15)
Mungu huwahukumu wote kwa haki (16, 17)
Wanadamu na wanyama wote hufa (18-22)
4
Ukandamizaji ni mbaya kuliko kifo (1-3)
Maoni yanayofaa kuhusu kazi (4-6)
Faida ya rafiki (7-12)
Maisha ya mtawala yanaweza kuwa ya ubatili (13-16)
5
Mkaribie Mungu kwa woga unaofaa (1-7)
Walio chini hutazamwa na walio juu zaidi (8, 9)
Ubatili wa utajiri (10-20)
6
7
Jina zuri na siku ya kufa (1-4)
Kemeo la mtu mwenye hekima (5-7)
Mwisho ni bora kuliko mwanzo (8-10)
Faida ya hekima (11, 12)
Siku njema na siku mbaya (13-15)
Usipite kiasi (16-22)
Aliyoyaona mkutanishaji (23-29)
8
9
Wote hupatwa na jambo lilelile (1-3)
Furahia maisha licha ya kwamba utakufa (4-12)
Waliokufa hawajui jambo lolote (5)
Hakuna kazi yoyote Kaburini (10)
Wakati na matukio yasiyotarajiwa (11)
Hekima haithaminiwi sikuzote (13-18)
10
Upumbavu kidogo huharibu hekima (1)
Hatari za upumbavu (2-11)
Madhara ya kuwa mjinga (12-15)
Upumbavu miongoni mwa watawala (16-20)
11
12