KUTOWEKA KABISA (Mimea na Viumbe Hai)
(Ona pia Kuhifadhi; Viumbe Hai na Mimea)
hasara kwa wanadamu: g01 11/22 6, 8
hofu ya kutokea kwa msiba wa ulimwengu: g 9/12 7
idadi ya viumbe waliotoweka kabisa: g 9/12 7; g 4/09 30; g 11/06 27
jamii za watu walio katika hatari ya kutoweka:
wenyeji wa asili (Wahindi) wa Brazili: g 10/07 12-15
jitihada za kuzuia: g01 11/22 10-11; g00 9/22 28-29; g96 8/8 7-8
conservation triage: g 4/12 26
hifadhi za mbegu: g02 4/8 24-27; g01 1/22 28; g01 9/22 6, 8
hifadhi za wanyama: g 9/12 17-18; g02 5/8 18; g97 7/8 4-8
New Zealand: g 4/12 26-27
madhara ya kukata miti yote msituni: g03 6/22 3-4; g97 3/22 4-6
makala za Amkeni! zathaminiwa: g97 5/8 30
mimea: g01 9/22 3-4; g98 1/22 31; g98 9/22 28-29
mimea na viumbe hai walio katika hatari ya kutoweka: g 4/12 25; w08 8/1 5; g05 1/22 28-29; g05 7/22 18; g01 6/8 31; g01 7/22 16-18; g01 9/22 4; g01 11/22 3-9; g97 7/8 3-11; g96 1/8 9; g96 8/8 3-10
Argentina: g98 1/8 28-29
Hispania (mbuga za taifa za Pyrenees): g 3/09 16-17
India: g04 10/22 26-27; g98 1/8 28
Israeli: g01 7/8 28
Italia: g98 1/8 28
jamii za wanyama wanaoongezeka tena: g96 3/22 28
New Zealand: g 4/12 25-26
Ujerumani: g97 10/8 28
viumbe wa baharini: g04 2/22 28; g01 11/22 8; g99 1/8 16-17
wanyama wa jamii ya nyani: g 8/08 22-24
wanyama wanaoishi kwenye nchi kavu na pia majini: g05 8/22 29
wanyama wanaonyonyesha: g97 4/8 28-29
namna nyingi za mimea na viumbe hai zinatoweka haraka: g01 11/22 6; g97 7/8 3; g96 8/8 3-4
mimea na wanyama: g 4/12 25
ndege waliodhaniwa wametoweka wagunduliwa tena:
bundi wa msitu (India): g98 8/8 29
cahow (Bermuda): g04 4/8 16-19
njiwa aina ya passenger: g01 11/22 5; g98 5/8 12
orodha ya mimea na viumbe hai walio katika hatari ya kutoweka:
albatrosi: g02 3/22 13; g01 11/22 7; g98 5/22 15-17; g97 6/22 24
chui (wa theluji): g02 5/8 17-18
chura aina ya golden toad (Kosta Rika): g04 10/8 17
condor (kondo): g96 6/8 29
dubu barafu (wa ncha ya kaskazini): g 2/07 26
dubu wa kahawia (wa Ulaya): g00 3/22 28
duma: g97 9/22 17
jaguar: g 9/10 24-25
kambare (samaki) (Mto Mekong, Asia ya Kusini-Mashariki): g 11/06 25
kasa aina ya loggerhead (Japani): g02 4/22 28
kasa wa baharini: g00 12/22 29; g97 8/8 29
kasuku: g02 7/22 31
kasuku mkia wa Spix: g96 4/8 23-25
kifaru (wa Afrika): g98 7/22 13; g97 7/8 3
kifaru (wa India): g04 10/22 26-27
kipepeo (Uholanzi): g01 5/22 18
korobindo (Uingereza): g01 2/8 31
korongo: g03 9/22 17; g01 7/22 18
kwarara wa kaskazini (ndege): g 6/10 10-11
mamba wa Amerika (Mto wa Orinoco, Venezuela): g98 7/22 29
marijani: g 3/09 29
mianzi: g05 3/8 29
mti wa candelabra (msindano wa Paraná, au wa Brazili): g01 5/8 11
“mti wa fidla” (Pernambuco): g03 10/8 29
nyangumi kijivu hawamo tena katika hatari ya kutoweka: g03 9/8 17-18
nyangumi wa bluu (samawati): g97 7/22 29
nyani (tumbili): g 5/12 14
nyatisinga (wa Ulaya): g 9/12 18; g 10/08 10-12
okidi (ua): g98 10/8 31
okidi aina ya lady’s-slipper: g02 8/22 28
orangutangu (nyani mkubwa): g01 7/22 17; g97 7/8 3
panda (mdogo): g05 3/22 7; g01 7/22 18
panda (mkubwa): g 9/12 17-18; g05 3/8 28-29; g01 7/22 17
papa: g 10/07 16-17; g98 2/22 29
pomboo: g 11/06 25; g05 7/22 18
pomboo aina ya baiji: g97 7/8 3
pomboo aina ya vaquita: g 5/08 24-25
popo wa Kitti mwenye pua ya nguruwe: g 2/10 21
Puya raimondii (mmea): g02 3/8 23
quetzal (ndege): g00 2/8 27
saiga (paa): g04 1/8 28-29
samoni (wa Atlantiki): g04 12/8 14, 16-17
sili-mtawa wa Hawaii: g01 3/8 17
sili-mtawa wa Karibea: g01 3/8 17
sili-mtawa wa Mediterania: g03 6/22 29; g01 3/8 15-17; g99 1/8 17
simba (wa Afrika): g02 10/22 28-29
simba-mangu wa Iberia: g04 7/22 18
simbamarara: g05 11/8 28; g04 10/22 27; g01 7/22 17; g97 9/8 28; g96 8/8 3, 8; g96 11/22 17-18
simbamarara (wa Siberia): g 6/08 16-17
sokwe: g03 4/22 29
sokwe (wa milimani): g01 7/22 16; g98 1/22 16-18
tembo (wa Afrika): g98 3/22 15-19
tumbili aina ya Goeldi: g01 7/22 18
ufafanuzi: g96 8/8 3
visababishi: g 9/12 7; g05 7/22 18; g01 11/22 4-6; g97 7/8 4-6, 9; g96 8/8 4-6
mauzo haramu ya bidhaa za wanyama pori kupitia Intaneti: g 10/12 29; g 10/06 30
uvuvi wa kupita kiasi: g 11/08 20-23; g04 2/22 28; g02 4/8 29
wanyama wa kufugwa: g01 6/8 29
wanyama waliodhaniwa wametoweka wamepatikana tena:
swala mwekundu wa Tibet (China): g98 10/22 29