Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Shule

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Shule
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Nchi Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

SHULE

(Ona pia Elimu; Kujifunza; Shule za Jumapili; Shule za Kitheokrasi; Vyuo Vikuu; Walimu; Wanafunzi wa Shule)

(Kuna kichwa kidogo: Nchi Mbalimbali)

dawa za kulevya: g02 3/8 8

hali shuleni: ed 29-30; g02 3/8 8-9

madarasa yenye makelele: g04 7/22 29

hotuba ambazo Mashahidi wanaombwa kutoa shuleni:

kujibu maswali: be 66-67

jeuri: w96 2/15 4

bunduki: g02 3/8 8-9

mauaji darasani (Winnenden, Ujerumani, 2009): w09 12/1 9-12

mauaji katika chuo (Virginia, Marekani, 2007): w08 9/1 30

mauaji shuleni (Colorado, Marekani, 1999): g00 4/8 3; g00 7/8 3

kazi za baada ya masomo shuleni: yp2 151-155; g03 4/22 28; g98 8/22 20-22

hali ya kiroho inaathiriwa: g98 8/22 22

kazi za wanafunzi za kufanyiwa nyumbani: g 4/09 4-5

katika siku za mikutano: km 2/04 1; w98 9/1 19, 21

kupata wakati: g04 1/22 13-15; g04 11/8 30

kuamua kuacha shule au la: yp1 134-141; g 11/10 26-29

kufanikiwa shuleni: g 10/12 3-7; yp2 114-120; km 12/97 7

kuiba mitihani: g 8/12 26-28; g04 4/22 30; g03 1/22 13-15; g03 9/22 30; g03 11/8 30

kadiri ambavyo kumeenea: g 8/12 26; g 6/11 29

kwa nini ni upumbavu: g 8/12 27-28

maoni yanayofaa kuhusu: g 8/12 28; w10 6/1 13

saa za mkononi zatumiwa kupata majibu: g97 6/22 28

kukosa kwenda shuleni: g03 10/22 28

kupambana na—

dhuluma na dhihaka: yb06 48

mfadhaiko (mkazo): yp1 128-133; g 4/09 3-9; g 9/08 26-28

mnyanyaso wa kimapenzi: yp2 124-127

shinikizo la marafiki: yp2 128-133, 135

kusalimu bendera: jv 671-672

kueleza maoni ya Mashahidi: w10 12/15 5

watoto wa Mashahidi waanza kukataa: jv 196-197

kutetea imani shuleni: w10 12/15 3-5; yp2 297-303

imani ya kwamba vitu vyote viliumbwa: yp2 300-303; g 9/06 26-28

kutoa ushahidi shuleni: km 10/11 2; km 8/09 2; yp2 298-299; km 1/06 8; w03 4/15 18-22; g02 3/22 12; km 8/98 1

chati “Panga Utakavyojibu”: yp1 127; g 7/09 25

kushinda woga wa kutoa ushahidi shuleni: yp1 121-127; g 7/09 24-27

kutumia video kuhusu msimamo wa Mashahidi wakati wa Wanazi (Stand Firm): km 6/01 8

kuwaelimisha watoto nyumbani: w97 8/15 21

kuwa imara katika imani:

Mkristo anapoombwa kushiriki katika utendaji ambao Biblia inakataza: be 67

madhara ya mifuko mizito ya kubebwa mgongoni: g00 9/8 29

makala za Amkeni! zathaminiwa: g96 7/22 30

maksi: yp1 146-147; g98 3/22 20-22; g98 12/22 30

kumsaidia mtoto aliyeanguka katika masomo shuleni: w08 1/1 11

kusoma ili kujifurahisha huziboresha: g05 8/8 28-29

mambo yaliyoonwa:

Amkeni! lapendekezwa na walimu: w05 6/15 29; g96 10/8 32

barua ambayo msichana Shahidi alimwandikia Noa: w04 7/1 32

hotuba kuhusu nadharia ya mageuzi ambayo msichana Shahidi alitoa: w00 2/15 32

hotuba kuhusu porojo yachapishwa: g96 12/22 32

hotuba za wanafunzi Mashahidi kuhusu uumbaji: g 9/09 32; w06 8/15 9-10; w00 8/1 8

insha “Ebu Fumbua Tu Macho Yako Uone”: g97 6/22 31

insha “Ikiwa Ningeweza Kubadili Hali Fulani ya Wakati”: g96 2/22 15; g96 10/8 30

insha “Je, kweli kamili inaweza kupatikana?”: w07 11/1 32

insha “Kitabu Ninachopenda Sana”: yb07 44-45

insha kuhusu unyofu: w03 8/1 16

insha “Kwa Nini Sisherehekei Halloween”: g 10/06 27

insha na mwenendo wa wasichana Mashahidi: g 3/09 21; g 6/09 30; yb04 47-48

insha “Tamaa Yangu Kubwa Zaidi”: g99 9/22 32

insha yashinda tuzo: g00 4/8 15

itikio la mwalimu mkuu kuhusu ombi la mwanafunzi msichana Shahidi: yb12 85-86

kijana aliyesimama imara miaka yote alipokuwa shuleni: w00 3/15 19-20

kijana ashinda ushawishi wa kuwa na uhusiano wa kimahaba: yb08 24-25

kijitabu Kuyachunguza Maandiko: yb06 155; w05 8/15 32

kitabu Biblia Inafundisha: w08 2/15 19

kitabu Furaha ya Familia: yb04 62

kitabu Hadithi za Biblia: g 7/11 32; w07 7/1 32; g05 9/8 18-19; w03 4/15 20; w02 4/1 26; g96 8/8 32

kitabu Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu: g 1/09 32

kitabu Muumba: g04 6/22 32; g01 9/8 32

kitabu Vijana Huuliza: g 9/10 32; g 10/08 32; yb07 59; g 10/07 32; g 10/06 32; g05 2/8 32; g05 11/22 32; w03 4/15 19-21; g02 8/22 32; w97 2/1 7-8; g96 11/22 32

kuhubiri shuleni: yb11 221; w06 8/15 9-10; g05 9/8 18-19; w04 6/1 17; w04 10/1 30-31; g04 9/8 12-13; w03 4/15 19-21; w01 11/1 25-26; w00 1/15 18; km 12/00 8; w97 2/1 6-7; w97 10/1 9

kuimba wimbo wa Ufalme badala ya kuimba wimbo wa taifa: yb12 236

kukataa kuimba wimbo wa taifa: yb04 248

kusalimu bendera: w09 10/15 22-23; w97 10/1 9

kushinda haya: yb05 54-55

kuwa tofauti: w97 8/1 21-22

maelezo na maonyesho ya wanafunzi Mashahidi kuwahusu Mashahidi nchini Ujerumani wakati wa utawala wa Wanazi: w06 7/1 20; g05 5/8 25; g02 1/8 31

makala ya Amkeni! kuhusu kutoa mimba yawagusa wanafunzi: g05 8/8 31

Mashahidi wafundisha kuhusu maadili: w98 6/1 8

maswali na majibu: w04 10/1 30-31

matoleo ya Amkeni! yawasaidia wanafunzi: g02 2/22 32; g02 9/8 31; g01 5/8 31; g01 9/8 31; g00 4/8 15; g00 8/8 32

mkutano kuhusu dawa za kulevya: w09 7/15 32

mkuu wa shule aomba amwone mwangalizi wa mzunguko: yb06 49

mpinzani apewa magazeti: w99 12/15 25

msichana aeleza kuhusu majuma 70 (Da 9:24-27) darasani: w00 4/1 23

msichana akataa kujiunga na kwaya ya shule: w96 2/1 32

msichana akataa kutemea bendera mate: ed 20

msichana mwenye huzuni katika basi la shule: w98 3/1 25

msichana mwenye miaka mitano amweleza mwalimu kuhusu imani yake: w96 5/15 9

msichana mwenye miaka mitano amwomba Yehova ampe ujasiri wa kutoa ushahidi: w10 2/15 7

msichana Shahidi aeleza mahali alipo baba yake aliyekufa: g 8/09 32

msichana Shahidi aeleza maoni ya Biblia kuhusu damu: w05 3/15 18

msichana Shahidi aeleza maoni ya Biblia kuhusu kutoa mimba: w05 3/15 8

msichana Shahidi aeleza sababu ya kutoimba nyimbo fulani: w05 3/1 32

msichana Shahidi akanusha kwamba Mashahidi ni madhehebu: w03 1/1 16

msichana Shahidi akataa kucheza kamari: w97 10/15 30

msichana Shahidi akataa uasherati: w00 1/1 16

msichana Shahidi amweleza mwalimu kuhusu jibu lake mwenyewe lisilo sahihi: w11 4/15 8

msichana Shahidi ashinda vishawishi vya maofisa: yb06 126-127

msichana Shahidi atoa hotuba kuhusu ngono kabla ya ndoa: g 4/11 25

msichana Shahidi awakabili wadhalimu: w98 1/1 23

msichana Shahidi azungumza kwa ujasiri: w99 12/15 25

msimamo imara kuhusiana na sherehe ya Halloween: w96 12/1 9

mtoto wa miaka sita atafuta nakala ya Mnara wa Mlinzi ili ampe mwalimu mwenye huzuni: w05 3/15 8-9

mvulana mwenye miaka sita azungumza na mwalimu wake akitumia andiko alilolikariri: yb10 47-48

mvulana mwenye umri wa miaka sita akataa keki: yb12 65-66

mvulana Shahidi ashinda dhihaka: yb06 48

mvulana Shahidi atoa hotuba shuleni kuhusu Sikukuu ya Akina Baba: g 8/07 28

mwalimu amdhihaki msichana Shahidi: w98 1/15 16

mwalimu amwita mvulana Shahidi Myahudi: g00 6/22 3

mwalimu atumia Amkeni!: g03 2/8 30

mwalimu mkuu ajifunza kweli: w05 2/1 17

mwanafunzi aandika insha kuhusu kitabu Mtu Mkuu: w05 6/15 29

mwanafunzi amsadikisha mwalimu asiyeamini kwamba kuna Mungu: yb04 108-110

mwanafunzi Mkatoliki wa darasa la sita: g97 10/22 32

mwanafunzi Shahidi aeleza jinsi Biblia inavyomfafanua Yesu: w06 3/1 27

mwanafunzi Shahidi aeleza kuhusu kusanyiko: yb05 64

mwanafunzi Shahidi aongoza mazungumzo darasani kuwahusu Mashahidi wa Yehova: w97 2/1 6-7

mwanafunzi Shahidi ashinda tuzo katika mashindano ya kusema mbele ya watu: w04 12/15 32

mwanafunzi Shahidi asifiwa kwa lugha yake safi: w02 9/15 9

mwanafunzi Shahidi ataka kuhubiri badala ya kujiunga na masomo ya ziada: w05 6/15 29

mwenendo wa Mashahidi: w10 4/15 6; w05 3/1 32; w05 6/15 27; km 6/98 7

mzee Mkristo azungumza na mkuu wa shule: w99 12/15 25

ripoti inayoeleza msimamo wa Mashahidi kuhusu kusalimu bendera: g96 1/8 31; g96 8/22 30

ripoti ya mvulana Shahidi kuhusu sherehe ya Halloween: g04 10/8 27

ripoti ya mwanafunzi Shahidi kuhusu Maangamizi Makubwa (enzi ya Wanazi): g03 5/8 14-15

ripoti za wanafunzi kuwahusu Mashahidi katika kambi za mateso za Wanazi: w04 9/1 29; g03 9/8 19

ripoti za wanafunzi Mashahidi kuwahusu Mashahidi wa Yehova: w03 4/15 21-22; g03 8/22 16

Shahidi aulizwa na mwanafunzi mwenzake maana ya uasherati: w06 12/15 10

shairi la msichana Shahidi kuhusu kuvuta sigara: g04 5/8 31

ubao wa kupigia ramli: w09 4/15 11

utimilifu wakati wa utawala wa Wanazi: g 8/11 19-20; w09 6/15 4

video juu ya tengenezo (Organization): g02 5/8 15; w98 10/15 32

video kuhusu damu yampendeza mwalimu: g04 9/8 13

video kuhusu msimamo wa Mashahidi wakati wa Wanazi (Stand Firm): km 2/02 1; g99 11/22 31

video kuhusu ofisi ya tawi na kazi ya kutafsiri: g05 9/22 31

video kuwahusu Mashahidi katika kambi za mateso (Purple Triangles): w03 4/15 20; g01 1/8 31

wanafunzi Mashahidi wachukua msimamo mbele ya mwalimu mkuu: yb09 135

wanafunzi Mashahidi waimba nyimbo za Ufalme: yb09 135; yb06 244; w96 2/1 32; w96 8/15 26

wanafunzi Mashahidi wakataa kushiriki katika mashindano: w06 8/15 11

wasichana Mashahidi watetea imani yao: w08 6/15 16-17; w02 9/15 19

wasichana Mashahidi wawaalika walimu kusikiliza hotuba za Shule ya Huduma: g05 9/8 18; w02 9/15 19

wasimamizi wasifu kutaniko lililotumia darasa: g 8/08 29

yatima akubali kweli: yb07 171-172

manufaa ya kuwa na mimea ndani ya madarasa: g03 6/8 28

manufaa ya shule: w03 2/15 27

maoni ya Kikristo kuhusu: od 141-142; w03 3/15 10-14; ed 2-31; km 8/99 1; w97 8/15 20-21; w96 2/1 9-14; w96 12/1 17-19

broshua Mashahidi wa Yehova na Elimu: w96 1/15 6; w96 2/1 13

kujiunga na shule mbali na nyumbani: w96 10/1 30-31

kusalimu bendera: w10 12/15 5

kuwatendea wengine kwa fadhili: w04 4/15 20-21

shule za bweni: km 11/09 5-8; w97 3/15 25-28

uchaguzi shuleni: w10 12/15 5

marafiki shuleni: yp2 142-146; w07 9/15 10; g 4/06 17-19

masomo kuhusu mambo ya ngono:

hayajabadili maoni ya vijana kuhusu ngono: g97 6/8 6

shule za watoto wadogo: g01 1/22 29

matatizo ya kujifunza: g 1/09 10-11; g97 3/22 30; g96 6/22 11-13

mtazamo kuhusu shule: g 4/09 4-6, 8; lr 220-221; km 12/97 7

nadharia ya mageuzi: g98 8/8 31

ngono: g 3/06 26; g02 3/8 9

jinsi ya kukataa ngono: g 3/06 26-28

nyakati za Biblia:

masinagogi: w10 4/1 18

shule ya Tirano (Mdo 19:9, 10): bt 160-161

sherehe:

kama wanafunzi wanapaswa kulazimishwa kusherehekea sikukuu shuleni: ed 14

shule za bweni: km 11/09 5-8

silaha shuleni: g02 3/8 8-9

uamuzi kuhusu malengo ya kufuatilia baada ya kumaliza shule: km 4/99 8

uchunguzi:

kuhusu matokeo ya elimu (nchi 32): g03 1/22 28-29

kuhusu nchi zenye wanafunzi bora: g97 6/22 29

usomaji:

kuwasaidia watoto wenye tatizo la kusoma: g96 8/8 13

utendaji wa baada ya masomo (usio sehemu ya masomo ya kawaida): w11 6/15 29, 31-32; g 4/09 5-6; od 141-142

kujiunga na timu ya mchezo: yp2 265-266; g96 2/22 12-14; g96 3/22 21-23; g96 12/8 30

wajibu wa wazazi: g 10/12 8-9; yp1 304-305; g 11/10 29; g 4/09 9; g 5/09 14; ed 27-30; w96 8/1 20; fy 94-95

kuwatayarisha watoto kiroho: km 7/11 2

waonevu (wadhalimu): yp2 122-124, 126-127; g04 5/22 30; g03 8/22 3-7, 9-11; g99 1/22 29; g98 5/22 28; g97 1/8 28

watoto viziwi: g98 9/8 20

Nchi Mbalimbali

Afrika: g00 1/22 29; g96 5/8 30

Afrika Kusini:

mahakama zatetea msimamo wa Mashahidi (1976): yb07 122-123

Estonia:

suala la kutounga mkono siasa au vita: yb11 222-223

Filipino:

kusalimu bendera si takwa: w98 12/1 22

Japani:

msimamo wa mwanafunzi wa kutoshiriki katika somo la mbinu za kujihami watetewa (1994, 1996): g00 4/22 24; w98 12/1 22; w96 11/1 19-21; g96 5/22 30; g96 9/8 28

Marekani:

shule ya unajimu (ubashiri): g02 7/8 29

shule za viziwi: g98 9/8 20

suala la kusalimu bendera: w10 9/15 4; jv 197, 669-672, 684-688

Mexico:

ubao wa elektroniki: g05 6/8 28

Papua New Guinea:

suala la kusalimu bendera: yb11 143-145

Poland:

uhalifu: g05 4/8 29

Rwanda:

suala la kutounga mkono siasa, jeshi, na sherehe za kizalendo: yb12 247-248; yb09 24

Taiwan:

masomo shuleni kuhusu jinsi ya kuepuka kutekwa nyara: g98 8/8 29

Uturuki:

Watoto ambao ni Mashahidi waruhusiwa kutojiunga na masomo ya dini (2011): yb12 38

Zambia:

watoto wafukuzwa shuleni kwa kutoimba wimbo wa taifa: yb06 231, 234-238

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki