SERIKALI KUU YA ULIMWENGU YA UINGEREZA NA MAREKANI
‘pigo la kifo lilipona’ (Ufu 13:3): re 190-191
serikali kuu ya saba ya ulimwengu: w12 6/15 14-17; g 5/11 15-17; g 8/07 27; re 190-191, 193-194, 253
ilipochukua mahali pa ile ya sita: w12 6/15 15, 19; w12 8/15 30; g 8/07 27
serikali kuu ya mwisho ya ulimwengu: w12 6/15 18; w12 9/15 6-7
serikali ya Marekani na Uingereza zilipoungana: w12 6/15 15; g 5/11 15-16; re 190-191, 253
‘yavunjwa pasipo kutumia mkono’ (Da 8:25): dp 179
zinafananishwa na—
“mfalme mwenye sura kali” (Da 8:23): dp 170-173
mfalme wa kusini (Da 11:30, 40): dp 247, 264, 270, 272
miguu ya chuma (Da 2): dp 55, 57
mnyama mwitu mwenye pembe mbili (Ufu 13:11-17): w12 6/15 16-17; re 193-194
nabii wa uwongo (Ufu 16:13; 19:20; 20:10): re 194, 230-231, 285-286
pembe ndogo (Da 7:8): w12 6/15 15; dp 141
pembe ndogo (Da 8:9): dp 170-173