MUZIKI
(Ona pia Dansi; Kuimba; Muziki wa Rapu; Muziki wa Roki; Nyimbo; Okestra [Vikundi vya Wanamuziki]; Opera [Onyesho la Muziki]; Vitabu vya Nyimbo)
ala aina ya carillon (Australia): g96 6/22 24-25
ala aina ya fidla:
mti wa fidla umo katika hatari ya kutoweka: g03 10/8 29
ala za muziki nyakati za Biblia: w12 2/1 22-24; w09 12/1 26, 28
baragumu: g 3/11 16
kinubi: g 3/11 15
tari: w12 2/1 24; g 3/11 14-15
tarumbeta: g 3/11 15-16
tasa: w12 2/1 24; g 3/11 14-15
toazi: w12 2/1 24; g 3/11 15
udi: w12 2/1 23
vinanda: w12 2/1 23; g 3/11 15-16
vyombo vya kupulizwa: w12 2/1 23-24
vyombo vya muziki vilivyogongwa au kutikiswa ili kutoa sauti: w12 2/1 24
wapiga filimbi: w12 2/1 24
ala za muziki zenye kibodi: g03 6/22 30; g02 11/8 18-21
arusi na karamu za arusi: km 11/08 3; w06 10/15 26-27; w00 5/1 21-22
didjeridu (ala ya muziki ya wenyeji wa asili wa Australia): g97 4/22 24-25
dini zinazodai kuwa za Kikristo: w97 2/1 26
Intaneti: g 8/11 3
Israeli (la kale): g 3/11 14-16; w10 12/15 20-22; w09 12/1 26-27; w97 2/1 25-26
Gitithi: w06 6/15 17
hekaluni: w10 12/15 21-22; w09 12/1 29; w97 2/1 25-26
kuimba: w09 12/1 29-30; w01 11/15 16
nyimbo za maombolezo (shiggayohn): w00 6/1 27
sela: w06 5/15 18
Walawi: w10 12/15 21-22; g 5/08 23; w00 6/1 26
kalipso (Trinidad): g 12/06 24-25
kinanda: g02 11/8 19-20
kuchagua muziki: g 8/11 6-9; g 11/11 19; w03 12/1 21-22; w00 6/1 27; ip-1 348-349; g96 11/22 23
kuwasaidia watoto: g 8/11 9
mambo ya kufikiria: g 8/11 7-9; yp2 255-256, 259-260; g 5/08 22; g96 11/22 23
kuepuka muziki usiofaa: w11 2/15 30-31; g 11/11 19; w10 5/15 32; yp2 255-256, 259-260; g 5/08 22; w00 6/1 27; w99 9/1 12; w97 7/15 16
kufurahia muziki wa aina mbalimbali: yp2 258
kuimba kutanikoni:
historia: w97 2/1 26-27
Maandiko ya Kikristo: w10 12/15 22; w97 2/1 26
madhara na uvutano: g99 10/8 3-8
madhara ya nyimbo kuhusu jeuri: g04 6/8 28-29
madhara ya nyimbo kuhusu ngono: g 5/07 11
msikilizaji anavyoathiriwa: wt 75
uvutano juu ya wanunuzi: g98 12/8 29
madhara ya sauti ya juu: g97 2/22 31; g96 8/8 28
tinnitus (kelele sikioni): g96 9/22 27
vipokea sauti vinavyovaliwa masikioni: g02 5/22 19-20; g99 1/8 29
maelezo: g 8/11 3-9; g 5/08 22-23; g99 10/8 3-10
makusanyiko ya mzunguko na ya pekee: w10 12/15 24
makusanyiko ya wilaya na ya kimataifa: w10 12/15 24
mambo yaliyoonwa:
kutamani kuwa kiongozi wa okestra: w12 10/15 4-5
mashabiki wa muziki aina ya heavy metal (mdundo mzito): w11 8/1 21-22; g 8/11 7
mshiriki wa bendi ya muziki wenye mdundo mzito: w12 4/1 14-15
mwanamuziki aliyeacha ulevi na dawa za kulevya: w09 2/1 28-29
mwanamuziki mashuhuri wa kupiga fidla: w07 10/1 7
umashuhuri wa kupiga ala si jambo kuu maishani mwake: w00 6/1 28
wanamuziki walioacha kufuatilia umashuhuri: w06 8/1 28-29
mambo yanayofanya muziki upendwe sana: g 8/11 4-6
mambo yanayohusu muziki: g99 10/8 5-6
manufaa kwa afya: g 5/08 22-23
manufaa wakati wa kufanyiwa upasuaji: g 5/08 22-23
manufaa ya masomo ya muziki ya watoto: g04 4/22 28; g98 7/8 28-29
maoni ya Biblia: w10 12/15 21-22; w09 12/1 30; w00 6/1 26-28; w98 10/1 22-23; g98 8/8 19; w97 2/1 24-28
maoni yenye usawaziko kuhusu muziki: g99 10/8 9-10
masimulizi ya maisha:
Imeandikwa Kwamba Nitamwona: g05 11/22 30; g04 12/22 10-14
Kitu Bora Kuliko Umashuhuri wa Ulimwengu: g05 6/8 30; g04 8/22 19-23
Maisha Yangu Yalikuwa Muziki, Dawa za Kulevya, na Unywaji wa Kupindukia: g97 1/8 11-15
Ninapenda Muziki, Maisha, na Biblia: g 8/07 19-23
Sababu Iliyonifanya Niache Kazi Yenye Pesa Nyingi: g 6/10 24-26
Sikuzote Yehova Huwathawabisha Waaminifu-Washikamanifu Wake: w00 9/1 26-30
muziki aina ya rapsodi: w97 2/1 26
muziki bora:
muziki unatumiwa kuwatuliza abiria wanaongoja: g99 5/8 29
muziki usiofaa: g 8/12 4; w01 11/1 6; g99 10/8 3-4; g97 5/22 6
Shahidi aepuka kuusikiliza kazini: g02 12/8 31
watoto wanaousikiliza: g01 6/8 28
muziki wa Amerika ya Kati na ya Kusini: g98 8/8 18-19
muziki wa dansi wa elektroniki (techno): g97 12/22 26
muziki wa roki:
maonyesho ya muziki: g99 10/8 8; g96 3/22 28; g96 8/8 30
mdundo mzito (heavy metal): w97 7/15 16
muziki wa sauti ya juu unaweza kusababisha uziwi: g96 8/8 28
roki ya badala: g97 9/8 30; g96 11/22 21-23
nyakati za Biblia: w12 2/1 22; w09 12/1 26-30; w97 2/1 24-26
nyimbo za Ufalme (Kingdom Melodies) (kaseti):
ndugu wanatiwa moyo wazisikilize: km 5/04 1
nyimbo zinazotaja jina la Mungu:
nyimbo zilizotungwa na Modest Mussorgsky: w07 9/1 32
wimbo uliotungwa na Franz Schubert: g00 9/22 30; g99 12/22 25
wimbo wa dini wa Haydn: w96 4/1 14
nzumari za nyasi (Visiwa vya Solomon): g02 1/8 26
okestra za filimbi: g 8/07 20-22
piano: g04 7/8 20-23; g02 11/8 20-21
rapu: w97 7/15 16
Shirika la Watchtower:
CD: km 1/98 3; km 4/98 7; km 1/97 3; km 4/97 7; km 12/97 7; km 12/96 7
kikundi cha waimbaji: yb11 19-20
okestra: yb11 19-20
Sing to Jehovah—Piano Accompaniment:
kusikiliza kabla na baada ya mikutano: km 12/11 3
synthesizer (chombo cha muziki): g02 11/8 20-21
ugonjwa wa wanamuziki: g98 12/22 17
usawaziko kuhusu muziki: yp2 253-262
video za muziki: g03 2/22 19-21; g03 3/22 11-13; g03 10/22 30
zinavyowaathiri vijana: g05 4/8 7-8; g97 8/22 29
vikusanyiko vya tafrija: w06 3/1 21; w06 10/15 24
vyombo vya muziki vyenye vipokea sauti vya kuvaliwa masikioni: g02 5/22 19-20; g99 1/8 29; g99 5/22 28
waimbaji na washairi walioitwa troubadour: g98 2/8 18-21
wanadamu duniani kote wana uwezo wa kuimba (tofauti na wanyama): g99 10/8 5
watoto wachanga wanavutiwa na muziki: g05 6/22 28
zawadi kutoka kwa Yehova: g 8/11 3; g 5/08 22-23
zumari ya Scotland: g02 12/8 23-25