SHTAKA (Shutuma)
(Ona pia Kulaumu [Lawama]; Makosa [Kutafuta]; Suto [Shutuma]; Uchambuzi; Uchongezi)
mtazamo unaofaa mtu anaposhtakiwa kwa uwongo:
Hana alivyomjibu Eli: w01 2/1 20-21
mtazamo wa Rubeni, Gadi, na Manase kuhusu yale makabila mengine: w08 11/15 18-19
shtaka la Shetani: w02 10/15 13-14
juu ya Ayubu: w11 5/15 17; w10 2/15 19-21; w09 4/15 3-6; bm 9; w06 11/15 4-5; bh 116-117, 119; lr 208-211; w02 8/15 25, 27-28
juu ya “ndugu zetu” (Ufu 12:10): w06 1/15 22; w99 4/15 17
juu ya “uzao”: re 182
juu ya viumbe wote wenye akili: w09 4/15 4, 7; bm 9; w08 12/15 4-5; w06 8/15 21-22; re 182; bh 119-120; w03 1/15 4-6; lr 208-211; wt 51
juu ya Yehova: w06 1/15 21
watu wasio Mashahidi wanaposambaza uvumi au habari za uwongo kuwahusu Wakristo: w10 8/15 24-25
Yesu ashutumiwa na viongozi wa dini: w11 4/1 21; w02 9/1 11-12; wt 160-161