Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Uchawi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uchawi
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maeneo Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UCHAWI

(Ona pia Kuroga; Pepo, Kuwasiliana na; Roho Waovu, Ibada ya; Shetani, Ibada ya; Uganga)

Kanisa Katoliki:

huenda wachawi walioteketezwa wakiwa hai wakasamehewa: g99 6/8 28

makala za Amkeni! zathaminiwa: g00 7/8 30

makuhani wenye kufanya uchawi:

Danieli alikuwa “mkuu wa makuhani” (Da 4:9): w07 9/1 18

mambo yaliyoonwa:

mchawi ashindwa kumdhuru Shahidi: yb07 234

mkuu wa hirizi ashindwa kumuua Shahidi kwa kumroga: jv 484

mlozi wa kike akubali kweli: w99 1/1 8

wachawi waliokubali kweli: yb12 58-59; yb11 135-136; yb07 158-159; w02 8/1 6; w97 7/1 26; jv 465

maoni ya Biblia: jd 108-109; ol 16-18; w00 4/1 5-7; gf 21; g99 11/8 26-27

kutumia uchawi (mizungu) kujilinda: w98 12/15 22

matibabu ya mitishamba yanayohusisha uchawi: w06 3/1 25

matumizi ya dawa za kulevya:

yalifuatana na kuomba nguvu za uchawi (manukuu): rs 49

mchawi wa En-dori: g 6/12 11; w10 1/1 20; rs 140-141

simulizi la maisha kuhusu familia iliyovunjika kwa sababu ya uchawi: g00 12/22 20-24

uchawi wa siku hizi: w00 4/1 3-7; g99 11/8 26-27

wachawi walisakwa katika Enzi ya Kati: w02 10/15 5-6

Maeneo Mbalimbali

Afrika: ol 15-18

Efeso:

Wakristo wapya wateketeza vitabu vya uchawi (Mdo 19:19): bt 162-163; g00 7/22 6-7

Ghana:

mizungu yakosa kumlinda mtu anayepigwa risasi: g02 7/8 29

Papua New Guinea: yb11 134-135

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki