MATIBABU (Tiba)
(Ona pia Ambulansi [Gari la Kuwabebea Wagonjwa]; Dawa; Dawa za Chanjo; Hospitali; Kutia Damu Mishipani; Madaktari; Tiba [Mwelekezo Kuihusu]; Tiba, Sayansi ya; Tiba ya Meno; Upasuaji [Tiba]; Viuavijasumu [Dawa za Kuua Viini]; Wagonjwa Mahututi [Utunzaji]; Wahudumu wa Hali za Matibabu hususa)
asali inaponya: g05 8/8 16-17; g02 3/8 31; g01 10/22 29
damu: rs 44-48
anemia selimundu (sickle-cell): g96 10/8 24-25
dawa inayomfanya mtu apoteze hisia anapofanyiwa upasuaji (nusukaputi): g 9/07 29; g01 7/22 30; g00 11/22 21-23
eksirei: g 11/08 11
homa:
watoto: g03 12/8 25-27
homa ya mafua: g05 12/22 9
homeopathy (dawa zilizopunguzwa nguvu): g00 10/22 9
huduma za ambulansi: g 3/10 11; g 3/06 10-11
inapofaa kumwona daktari: g98 7/8 6-7
kansa: g 12/12 28
ya mlango wa tumbo la uzazi inayosababishwa na virusi vya papillomavirus: g05 6/22 22-23
kanuni za maadili zinazohusika katika matibabu: w97 2/15 19
kazi inayohusisha matibabu:
maoni ya Biblia: w99 4/15 29
kifua kikuu: g99 5/22 21, 23-24; g99 7/22 10-11; g97 12/22 4-5, 8-9
kisukari: g03 5/8 5-7, 10-11
komahedhi:
matibabu ya kuongeza estrojeni: g96 3/22 30
kudungwa sindano:
kama ni bora kuliko tembe: g96 9/22 12
kujitibu: g03 12/22 14; g98 7/8 3-8
kukanda mwili: g00 10/22 10
kuondoa michoro ya chanjo: g04 12/8 28; g03 9/22 27
kupandikiza sehemu za utumbo mdogo wa nguruwe kwenye vidonda: g03 3/8 29
kupima afya ya mtoto kabla hajazaliwa: g96 8/8 16-17
kusafiri nga’mbo ili kupata matibabu bora: g 9/12 27
kushuka moyo: g 7/09 4-6
kutoweza kuzaa (utasa): g 1/12 20; g04 9/22 3-11
maoni ya Biblia kuhusu matibabu: g04 9/22 10
kuuliza maoni ya daktari mwingine: g00 10/22 28
kuumwa na nyoka: g96 5/8 29; g96 7/8 11; g96 8/22 25
mayai ya kuku yanaweza kutumiwa kutengeneza dawa ya sumu ya nyoka: g04 1/8 29
maamuzi kuhusu matibabu: w11 4/15 14; w08 11/15 25-26; w03 9/1 16; fy 124-126
magonjwa ya akili: w96 9/1 30-31
malaria:
sugu: g01 10/22 28-29
maoni ya Biblia: w08 11/15 23-27; w06 3/1 25-26; g01 1/8 26-27; fy 124-126
matibabu ya badala: g00 10/22 3; fy 125-126
matibabu yanayohusisha pepo (uchawi): w08 11/15 25-26; lv 190-191
wakati ujao: g05 1/22 8-11
maoni ya Mashahidi: w11 2/1 27; g 8/10 7
matatizo ya tezi-kibofu: g01 8/8 30; g00 12/8 20-23
matibabu ya badala: g 1/07 9; g01 6/22 30; g00 10/22 3-12
matibabu ya dharura:
Huduma ya Ambulansi ya London: g 3/06 10-11
maendeleo (Marekani): g03 4/8 28
matibabu ya kutumia chembe za urithi: g 1/07 6; g01 6/8 8; g00 9/22 9-11; g96 2/22 29; g96 5/22 29; g96 9/22 6
matibabu ya kutumia mabuu: g01 10/22 22
matibabu ya maungo: g00 10/22 9-10
matibabu ya vitobo: g00 10/22 10-11; g00 11/22 22
matiti:
kansa: g 8/11 25-27
maumivu:
dawa aina ya acetaminophen: g98 8/8 29
maumivu ya kichwa: g98 8/8 29
mipaka ya matibabu: g01 6/8 4-9
Misri (ya kale): w98 4/1 16; ba 20
mitishamba: g03 12/22 12-14; g00 10/22 7-8; g98 7/8 4
dawa za kienyeji za Afrika: w06 3/1 25
tahadhari kuihusu: g04 10/22 30; g03 8/22 28
nchi zinazoendelea: g99 7/22 10-11
nyakati za Biblia: ip-1 16
rekodi za matibabu hazipaswi kufunuliwa: g03 1/22 7
tinnitus (kelele sikioni): g96 9/22 27
ubongo:
Kisu cha Gamma (upasuaji unaofanywa kwa kutumia mnururisho): g98 2/22 20-21; w96 3/15 31
ugonjwa hatari wa wajawazito:
chumvi yenye salfati na maganesi inapunguza dalili fulani: g04 10/22 29
ugonjwa unaosababishwa na virusi vya papillomavirus: g05 6/22 22-23
ugonjwa wa dundumio (thyroid): g 5/09 26, 28-29
ugonjwa wa kuharisha:
dawa ya chanjo ya kuzuia uambukizaji wa rotavirus: g98 5/8 29
maji yenye chumvi na sukari (Oral Rehydration Therapy): g97 9/22 11
ulevi sugu: w10 1/1 9-10
unene unaopita kiasi: g04 11/8 9
upaji wa viungo vya mwili:
Brazili: g98 7/22 28
upasuaji wa kufyonza mafuta: g04 11/8 11
vidonda:
kufunga vidonda kwa zipu ya tiba: g04 3/8 28
manufaa ya kulamba kidonda: g98 2/8 30-31
vitabu vya Mashahidi wa Yehova:
msimamo wa wachapishaji kuhusu matibabu yanayozungumziwa: g 9/07 22
wagonjwa wenye ugonjwa usiotibika: g 7/11 15-17
uhai unaotegemezwa na mashine: w12 12/15 15-16
wahudumu wa hali za dharura: g 4/09 12-15