Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Usafiri wa Ndege

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usafiri wa Ndege
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maeneo Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

USAFIRI WA NDEGE

(Ona pia Misiba [Mambo Mabaya Yasiyotazamiwa au Kukusudiwa]; Viwanja vya Ndege)

(Kuna kichwa kidogo: Maeneo Mbalimbali)

helikopta:

helikopta za abiria: g99 3/8 9

historia: g99 3/8 3-9; g99 11/8 19-20

maputo: g02 3/8 14-15, 17; g99 3/8 5

Wright, Orville na Wilbur: g 3/10 4; w00 2/1 3

zeppelin: g03 6/8 30; g02 10/22 10-14

kuongoza ndege (chombo): g 4/08 13-15

maelezo: g99 3/8 3-12

mambo yaliyoonwa: km 8/10 6

kutua katika hali ya dharura: g04 5/8 10-11

vijiji nchini Kanada: w98 4/15 25-26

mapendekezo kwa wasafiri: g02 7/8 28; g98 1/8 28; g98 6/22 16

misiba: g04 10/22 28-29

Concorde (Ufaransa, 2000): g02 10/22 31

misiba iliyosababishwa na kutoelewana lugha: g97 12/8 28

Ndege ya Korea Nambari 801 (Guam, 1997): g98 3/22 23-25

ndege ya mizigo ya AN-124 (Siberia, 1997): w98 4/15 3

Ndege ya TWA Nambari 800 (Marekani, 1996): g97 2/22 32

ndege za abiria: g99 3/8 6-12

abiria wajeuri: g97 10/8 28

abiria wanavyoweza kupunguza hatari: g03 7/8 12-13; g02 12/8 10-11; g99 3/8 11

abiria wenye hasira: w10 6/15 15; g99 10/22 28

chombo kinachoiga safari za ndege: g00 9/22 24-27

Concorde: g04 6/22 26-27; g02 10/22 31

kustarehe: g02 7/8 28; g98 1/8 28; g98 6/22 16

kutoka katika ndege wakati wa dharura: g03 7/8 13; g00 9/8 19

kuzitunza: g02 12/8 7-9; g99 9/8 11-14; g96 3/22 9-10

kuzuia damu isigande kwa sababu ya kuketi: g01 7/22 28

mabawa yatengenezwa kwa kuiga mabawa ya shakwe (korongo): lc 12-13; g 9/06 5, 7

mabawa yatengenezwa kwa kuiga mapezi ya nyangumi: lc 12; g 9/06 4-5

madhara ya mvuke unaoachwa na ndege za abiria zinazosafiri usiku: g 7/07 22

marubani na ugonjwa wa mtoto wa jicho: g 5/06 14

mikanda ya viti: g98 9/22 29

mpangilio wa ndege wanaoruka unaigwa: g05 9/8 8-9

ndege inayoendeshwa kwa betri za kawaida: g 4/07 30

ndege ya kwanza: g99 3/8 3, 6; g99 11/8 19-20

ndege zatumiwa katika kazi ya kuhubiri: bt 6; jv 357, 499

ni hatari kutumia vifaa vya elektroniki vya binafsi wakati wa kusafiri: g05 2/8 19-20; g99 5/8 28

usalama: g02 12/8 3-12; g99 3/8 10-12

virusi vinavyobebwa na abiria wa ndege: g97 11/22 29

uchovu kwa sababu ya kuvuka kanda za wakati: g98 10/8 29

vyombo vya angani vyatumiwa vitani: g 10/07 22-23

woga wa kusafiri kwa ndege: g03 8/8 30; g02 12/8 4-5, 9-12; g00 4/8 30; g99 3/8 11-12

Maeneo Mbalimbali

Australia:

ndege zinatumiwa kuwakusanya mifugo: g98 2/22 29

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki