Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Vita

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vita
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Israeli (la Kale)
  • Manukuu
  • Orodha Kulingana na Maeneo
  • Orodha Kulingana na Majina
  • Vita Mbalimbali vya Israeli (la Kale)
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

VITA

(Ona pia Askari-Jeshi; Har–Magedoni; Jeshi; Jeshi, Kujiunga na; Silaha; Silaha za Nyuklia; Vita Baridi; Vita Mbinguni [Ufunuo 12]; Vita Vitakatifu [Krusedi]; Vita vya Kiroho; Vita vya Kwanza vya Ulimwengu; Vita vya Nyuklia; Vita vya Pili vya Ulimwengu; Wapiganaji wa Kuvizia [wa Msituni]; nchi hususa)

(Kuna vichwa vidogo: Israeli [la Kale]; Manukuu; Orodha Kulingana na Maeneo; Orodha Kulingana na Majina; Vita Mbalimbali vya Israeli [la Kale])

dhana kuhusu vita vya haki na visivyo vya haki: g00 3/8 28; g97 4/22 10

dini zinavyohusika katika vita: re 207-208, 268; g03 3/22 28; ol 20-21; w01 9/15 3; w97 4/15 11; w96 4/15 13-14

dini ya Waashuru ilichochea vita: ip-1 208-209

dini zinalaumika kwa vita: re 270-271

dini zinazodai kuwa za Kikristo: yb07 112-113; w06 3/1 6; g99 3/8 31; w98 12/1 5-6

Japani katika enzi za kati: re 245

Kroatia wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu: w96 7/1 5

maelezo ya mtu aliyekuwa katika Jeshi la Anga la Ujerumani wakati wa utawala wa Wanazi: w04 10/1 12

maelezo ya waandishi wa magazeti: re 271

mapambano kati ya Manowari za Hispania na Uingereza (1588): g 8/07 24-25, 27

vita vya dini: g 1/11 4; g97 4/22 3-10

Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: g 1/11 5; g 8/09 20-21

Vita vya Pili vya Ulimwengu: w96 7/1 5

zinaunga mkono vita: g 2/12 29; g 1/11 4-5; re 238, 244-245, 262-263

dini zinazodai kuwa za Kikristo zinalaumika: g99 3/8 31; w98 12/1 6

maelezo ya Rabi Naḥmanides (1263): w97 4/15 22

mauaji ya jamii nzimanzima (Kroatia, Vita vya Pili vya Ulimwengu): w96 7/1 5

nchi iliyoitwa Yugoslavia (1991-1995): w97 5/1 14

United Church of Christ (Japani): g96 1/8 28

vita vya kikabila (Rwanda, 1994): yb12 197; w97 5/1 14; w96 4/15 14; g96 11/8 6

faraja kwa waliotendwa kijeuri: w03 5/1 21-22

gharama: g 9/08 29

ya kuendesha shughuli za kijeshi: g 4/10 30; w07 8/15 23; re 94, 250; g 1/06 20; g 4/06 29; g01 7/22 31; g96 11/8 29

idadi ya askari-jeshi duniani kote: w08 4/1 5

idadi ya watu ambao wamekufa vitani—

katika karne ya 20: w08 8/1 5; w06 9/15 4; w00 4/15 3; g99 9/22 3; w96 9/15 32

katika miaka mbalimbali: re 249

kuwepo kwa vita tangu vita vya pili vya ulimwengu: g 10/12 27

tangu 1914: w08 5/15 13-14

tangu mwaka wa 1900: w06 9/15 4; w03 1/15 3

tangu Vita vya Pili vya Ulimwengu: re 94

ishara ya siku za mwisho: g 10/12 26-27; w08 5/15 13-14; w08 8/1 5; w08 10/1 6-7; g 4/07 8-9; w06 9/15 4; re 93-95, 250; w05 10/1 4-5; bh 88-89; rs 285-286; g02 1/22 4; g99 9/22 3; g99 12/8 4, 6, 10-11; w98 6/15 32; w98 9/15 7; w97 4/1 6; w96 9/15 32

joka apigana na—

Mikaeli (Ufu 12:7-12): re 180-181; bh 219

waliobaki wa uzao wa mwanamke (Ufu 12:17): re 185-186

kadiri ambavyo vita vimeenea: w08 4/1 5; g 4/06 29; g00 7/8 28; g99 9/22 3; g99 12/8 4, 6, 10-11

idadi ya vita na watu wanaokufa kwa sababu ya vita inaongezeka: re 250

katika kipindi cha miaka kadhaa: g96 4/22 6

katika miaka fulani hususa: g 4/07 30; g00 7/8 28; g00 8/8 29; g96 4/22 6; g96 7/22 12-13

tangu Vita vya Pili vya Ulimwengu: re 94

vita vya wenyewe kwa wenyewe: w04 1/1 3-4

Kanisa Katoliki: w12 3/1 5; rs 366

liliunga mkono utawala wa Wafashisti nchini Italia: re 262

liliunga mkono utawala wa Wanazi nchini Ujerumani: re 238, 244

liliunga mkono vita nchini Japani: re 268

Vita Vitakatifu (Krusedi): g97 10/8 12-15

madhara: w04 1/1 4; w01 1/1 3

matokeo ya vita vinavyopiganwa kwa silaha ndogondogo: g01 3/22 3-4

uchungu wa moyo: w01 1/1 4-7

wakimbizi: g02 1/22 4

watu wa ukoo (jamaa) wanaopotea: g03 12/22 28

maelezo: w04 1/1 3-7; g99 9/22 3-9

maelezo ya—

aliyekuwa Rais wa Marekani, Richard Nixon: re 245

mtu aliyekuwa mwanajeshi alipokuwa mtoto: g01 3/22 7

waandishi wa magazeti: re 271

makasisi:

Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: g 1/11 5; jv 191

Vita vya Pili vya Ulimwengu: w04 10/1 12

wanaunga vita mkono: g 2/12 29; rs 366; g99 9/8 27; g96 4/22 5

mambo yaliyoonwa:

aliyekuwa mwanamaji wa jeshi la Marekani nchini Vietnam: g 12/09 24-27

askari-jeshi akatishwa tamaa na makasisi wanaounga mkono vita: w05 1/1 6

askari-jeshi wajifunza kweli: w04 1/1 6-7

dereva wa kifaru: g03 1/22 30

kutounga mkono siasa au vita ni ulinzi: yb11 150-151; w00 12/15 8-9; w98 12/1 6

kweli yafanya maadui waungane: w01 1/1 4-6; w99 1/1 25; g98 11/22 14

mapinduzi nchini Mexico (1994- ): w00 12/15 8-11

mikutano: yb09 197-198, 207-208; w00 12/1 17; w96 11/1 15

Mmarekani aliyekuwa askari-jeshi amwandikia barua Mjapani ambaye pia alikuwa askari-jeshi: g04 9/8 31

mmishonari aliyelazimika kuhama amshawishi mtoto aache kucheza na bunduki bandia: w06 5/1 32

msichana ajeruhiwa kwa kupigwa risasi wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe: g 3/06 21-23

mtu aliyekuwa katika Jeshi la Anga la Ujerumani: w04 10/1 12

mwanamume aliyenusurika kwa sababu alibeba magazeti: w98 11/1 29

mwenendo wa Mashahidi waonyesha kwamba maneno ya kasisi ni ya uwongo: yb05 46

ndugu waliokataa kujiunga na jeshi ijapokuwa waliteswa: w98 9/1 24-28

simulizi la maisha la msanii wa mambo ya jeshi: g01 4/8 22-24

simulizi la maisha la shujaa wa vita: g98 12/22 12-15

vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Kongo (Kinshasa) (1996-1999): yb04 243-244, 249-250

vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Yugoslavia (1991-1995): yb09 199-200; w96 11/1 15

wafanyakazi wa serikali wapeleka chakula cha kiroho: re 21; w04 3/1 27

wanajeshi waliostaafu na ambao walikuwa vitani nchini Vietnam: g 5/06 28

maoni ya Biblia: w10 1/1 14; g02 5/8 20-21; g97 4/22 11

Israeli (la kale): w09 10/1 30; g02 5/8 20-21; g97 4/22 3

maelezo ya makasisi: w97 1/1 32

vita vya Yehova: cl 59-66

“wakati wa vita” (Mhu 3:8): w99 10/1 11-12

Wakristo: g 8/11 22-23; w09 8/1 7; w09 10/1 29-31; lv 53; rs 135-136; g02 5/8 21; gf 19; w99 10/1 11; g97 5/8 22-23; w96 4/15 19-20

maoni ya Wanafunzi wa Biblia: jv 191-192

Mashahidi wa Yehova hawaungi vita mkono: w09 10/1 31; w08 7/1 22; w98 12/1 6; g98 11/22 12-13

maelezo ya kasisi Niemöller: w97 1/1 32; ba 25

mnyama-mwitu awashambulia—

mashahidi wawili (Ufu 11:7): re 167-168

watakatifu (Ufu 13:7): w12 6/15 15; re 192

nyakati za Biblia:

Abrahamu apigana na wafalme Wakaldayo: w01 8/15 23-26

farasi watumiwa vitani: w06 1/15 15

majiji: ip-1 230

masimulizi ya Biblia ni sahihi: w05 4/15 32

vidole gumba vya mikono ya mfungwa vilikatwa: w05 1/15 24

sala:

“Siku ya Ulimwengu ya Sala kwa Ajili ya Amani” (1986): re 249-251

silaha ndogondogo: w04 1/1 4; g02 5/8 5; g01 3/22 3-8

visababishi: w04 1/1 4; g99 8/22 10; g99 9/22 6-7; w97 4/15 10-11; w96 1/1 3-4

chuki ya kijamii (kikabila): g96 4/22 6

kutojifunza kutokana na mambo yaliyopita: g02 8/8 4-6, 8-11

upungufu wa maji: g 11/08 30; g97 11/8 29

vita vilivyotangulia: w01 1/1 3

“vita” baada ya Utawala wa Miaka Elfu (Ufu 20:8): re 291-292

vita vinafananishwa na—

farasi mwenye rangi ya moto (Ufu 6:4): re 93-95

farasi mweupe (Ufu 6:2): re 90-92, 99

farasi weupe (Ufu 19:11, 14): re 280-281

vita vinavyoathiri—

maadili: g 4/07 4-6

waandishi: g03 7/22 28

wakimbizi: g01 3/22 3-4; g01 7/22 29

wanajeshi waliokuwa vitani: w07 7/15 28

watoto: g05 4/22 28; w04 1/1 3; w01 5/15 3; g00 1/22 31; g99 3/22 28-29; g98 3/22 28; g98 7/22 30; w97 4/1 3-4; g97 3/22 28; g97 10/22 3-11; g96 2/8 29

watoto walio askari-jeshi: w04 1/1 3, 6; g97 10/22 4-6

vita vitakomeshwa: g 12/12 23; w04 1/1 6-7; ip-1 129; g00 5/8 8-9; g99 8/22 10-11; g99 9/22 7-9; w98 4/15 30; g97 10/22 11; g96 4/22 8-11

Isaya 2:2-4: ip-1 45-48

jitihada za wanadamu za kuvikomesha zimeshindwa: w08 4/1 3-4; re 94, 225-227, 249-250; w04 1/1 5; g99 8/22 9-10; g99 9/22 6; w97 4/15 8-11; g96 4/22 3-6

matarajio mema: g99 9/22 4-6

si jambo lisilowezekana: w97 4/15 11-12

Wakristo wa mapema: w12 3/1 5; g 11/09 11; lv 52; w05 3/15 6-7; rs 136-137; w02 7/15 24; w98 12/1 6; jv 192

Wamongolia (miaka ya 1200): g 5/08 12-15

vita vya Ain Jalut (1260): g 3/12 12-14

wanasayansi wanaotengeneza silaha: re 94

watu ambao wamekufa vitani:

idadi ya raia wanaouawa inaongezeka: g00 1/22 31

katika karne ya 20: w08 5/15 13

watoto: w01 5/15 3

Yehova: cl 57-66

hapaswi kulaumiwa kwa vita vya wanadamu: w97 1/1 32

“kitabu cha Vita vya Yehova” (Hes 21:14): w09 3/15 32

mwito wa Yehova kwa mataifa (Yoe 3): w98 5/1 22-25

ni ‘Mungu wa amani’ licha ya kupigana vita: cl 61-66

Israeli (la Kale)

kilichofanya Waisraeli waruhusiwe kuoa wanawake wa nchi za kigeni waliotekwa: w04 9/15 28

kilichofanya Yehova awaruhusu na pia kuwaamuru Waisraeli wapigane vita: rs 135-136

sheria kuvihusu: cl 134-135

vita vilivyopiganwa Megido: w08 4/1 6

vita vya siku hizi ni tofauti na vita vya Waisraeli wa kale: rs 135-136; g02 5/8 20-21; g97 4/22 3

walishinda kwa sababu walimtegemea Yehova: w06 5/15 8-9

Manukuu

baada ya mwaka mmoja wa vita vya Bosnia, naamini Shetani ndiye anayeongoza mambo. Haya yote ni kichaa: w02 10/15 3

hakuna washindi, ni washindwa tu: w01 1/1 3

idadi ya watu waliokufa vitani katika karne ya 20 ni kubwa sana: w06 9/15 4

je, yeyote aweza kuwazia Yesu akirusha gruneti za mkono?: g98 10/22 6

jeshi lazima liwe tayari siku zote (Partiarch Kirill): g 2/12 29

kanisa hufuata bendera: w96 4/15 13; g96 4/22 5

karne ya 20 imekuwa ndiyo yenye damu nyingi zaidi ya zote katika historia: re 245

kipindi cha 1914 hadi 1989 kilikuwa kipindi kimoja maalumu: jt 7

kwa kuwa vita huanza katika akili za watu, vivyo hivyo amani: g02 1/22 13; w01 1/1 32

kwa pembe moja ya mdomo wetu tumemsifu Mkuu wa Amani na kwa pembe ile nyingine tukatukuza vita: g 6/11 8

maaskofu wameunga mkono vita vyote vinavyopiganwa na nchi yao: rs 366; g96 4/22 5

mabaraza ya viongozi Wakatoliki wenyeji karibu kila wakati yaliunga mkono vita vya mataifa yao: g98 10/22 4

makanisa ya Kikristo ndiyo wachochezi wakuu wa umwagikaji wa damu: g98 10/22 4; g96 4/22 5

makanisa yamejitoa kubariki vita, majeshi, na silaha kwa njia isiyopatana hata kidogo na Ukristo yakiomba uharibifu wa maadui: w97 1/1 32; ba 25

mapigano ya karne ya 20 yalisababisha umwagikaji mkubwa wa damu na uharibifu mkubwa kuliko katika kipindi kingine chochote: g02 5/8 9

ni shirika kuu katika ustaarabu wa kibinadamu: w97 4/15 9

nusu au zaidi ya vita vinavyopiganwa sasa ama kwa wazi ni mapambano ya kidini ama yanahusu mabishano ya kidini: re 271

sikuzote kani mbili zimekuwa zikiungana katika muungano wa vitu viwili. Vitu hivyo ni vita na dini: w96 4/15 13

ulimwengu ungekuwa tofauti kama nini ikiwa sisi sote tungeamka asubuhi moja tukiwa sote tumeazimia kutochukua silaha tena, kama tu Mashahidi wa Yehova: g98 10/22 6

waandishi wote Wakristo walioishi kabla ya Konstantino walipinga mauaji yaliyotokea vitani: g 11/09 11

wafuasi wa mapema wa Yesu walikataa kupigana na kujiunga na jeshi: g 11/09 11

Wakristo wa mapema walikataa kujihusisha katika vita licha ya matokeo mabaya: w12 3/1 5

Orodha Kulingana na Maeneo

Afghanistan:

mikeka (mazulia) ya vita: g00 1/8 28-29

Afrika:

gharama ya vita: g 9/08 29

Karthage: g 4/09 18; g01 11/8 16-18

Ashuru:

ukatili: g 12/10 26-27; w07 10/15 22; jd 118; ip-1 144, 208-210

vita vya kidini: ip-1 208-209, 325

Waashuru wateka Ashdodi (Isa 20:1): ip-1 210-211

Bosnia na Herzegovina:

kuzingirwa kwa Sarajevo (1992): yb09 193-198

China:

Vita vya Kasumba (1839-1842; 1856-1860): re 263

eneo lililokuwa Yugoslavia (1991-1995): g96 7/22 12

dini zilivyohusika: w97 5/1 14

watoto walivyoathiriwa: w97 4/1 3-4

Iraki yavamia Kuwait (1990): g96 7/8 15; g96 7/22 12

Kongo, Jamhuri ya (Brazzaville):

vita vya wenyewe kwa wenyewe (1997-1999): yb04 149, 157-160

Liberia:

vita vya wenyewe kwa wenyewe (2003): w04 4/1 30-31; yb04 20-21

Mexico:

Maasi ya Cristero (1926-1929): g05 8/22 12-14

Nigeria:

chakula cha kiroho wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Biafra: re 21; w04 3/1 27

Rwanda:

umoja kati ya Mashahidi: yb12 207, 215-217, 222, 225; w98 4/1 18-19; w96 11/1 17-18, 32

vita vya wenyewe kwa wenyewe (1994): yb12 194, 197; w97 5/1 14; w96 4/15 14; g96 4/8 29; g96 11/8 6

Ubelgiji:

Napoléon ashindwa katika pigano la Waterloo (1815): g 6/11 25; g99 3/22 16

Ufaransa:

Wakatoliki na Waprotestanti (miaka ya 1500): g97 4/22 4-9

Ugiriki (ya kale):

majeshi ya Wamedi na Waajemi yashindwa huko Plataea (479 K.W.K): g99 8/8 25-27

Wamedi na Waajemi washindwa huko Marathoni (490 K.W.K.): w05 9/1 28

Wamedi na Waajemi wavamia Ugiriki: dp 212-213

Uingereza:

Manowari za Hispania zashindwa (1588): g 6/11 24-25; g 1/10 20-21; g 8/07 24-27; dp 138

Umedi na Uajemi:

Wamedi na Waajemi wavamia Ugiriki: dp 212-213

Urusi:

Chechnya (1994): g96 7/22 12

Vietnam:

masimulizi ya maisha ya askari-jeshi Wamarekani waliokuwa katika Vita vya Vietnam: g 12/09 24-27; g05 10/22 11-15; g97 1/8 11-15

Orodha Kulingana na Majina

vita kati ya Roma na Karthage (Vita vya Punic): g 4/09 18; g01 11/8 16-18

vita kati ya Wamaya na Wahispania (1847-1853): w08 12/1 14

Vita vya Kasumba (1839-1842; 1856-1860): re 263

wamishonari wa dini zinazodai kuwa za Kikristo waliunga mkono Uingereza: re 263

Vita vya Korea (1950-1953): g 12/08 13

jambo lililoonwa kuhusu kutekwa nyara: w12 12/1 12-13

Vita vya Miaka Thelathini (1618-1648):

Mkataba wa Amani wa Westfalia (1648): w04 3/15 20-23

Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe vya Hispania (1936-1939):

dini zilichochea: re 207-208, 262

Vita Mbalimbali vya Israeli (la Kale)

Asa awapiga Waethiopia: w12 8/15 8-9

Baraka amshinda Yabini na Sisera: w12 2/15 12; w08 10/15 14-15; gl 14; w98 12/15 11-12

‘nyota zilipigana na Sisera’ (Amu 5:20): w05 1/15 25

Daudi awashinda—

Waamoni: w05 2/15 27

Wamoabu: w05 5/15 17

Gideoni awashinda Wamidiani: w08 10/15 14; w05 7/15 14-16; gl 14; w97 10/1 31

simulizi ni sahihi: w05 4/15 32

Musa awashinda Waamaleki: w11 12/15 19

Rubeni, Gadi, Manase wawashinda Wahagri: w05 10/1 9

vita kati ya Waisraeli na Wafilisti:

Wafilisti wateka sanduku la agano: w11 1/1 24

vita vya wenyewe kwa wenyewe:

Asa dhidi ya Baasha: w12 8/15 10

Wabenyamini waadhibiwa kwa sababu ya dhambi iliyohusisha ngono: w11 9/15 32; w05 1/15 27

Wafilisti wamshinda Sauli vitani: w97 10/1 31

Yeftha awashinda Waamoni: w07 5/15 9; gl 14

Yehoshafati ashinda Amoni, Moabu, na Mlima Seiri: my 67; w03 6/1 16, 20-22; w98 5/1 19-22

Yonathani awashinda Wafilisti: w07 9/15 18-19

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki